Fuatilia Malalamiko

Ili kufuatilia malalamiko yako unatakiwa kuwa mwanachama wa LAPF. Ukiwa mwanachama uliyesajiliwa na mfuko wa LAPF unatakiwa kujiunga na mfumo huu ili kufuatilia malalamiko yako.

Ukiwa sio mwanachama wa mfuko wa LAPF unatakiwa kujiunga na mfuko huu ili kufuatilia malalamiko yako.