LAPF news Roundup

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa morogoro

Published on 12 September, 2017

img

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa morogoro, Cllifford Tandari akitoa hotuba yake kabla ya Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliud Sanga kusaini makubaliano ya uwekezaji katika machinjio ya kisasa ya Nguru yaliyopo Wilaya ya mvomero mkoani Morogoro.