LAPF news Roundup

TUZO YA MSHINDI WA KWANZA KATIKA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII NA BIMA

Published on 25 July, 2017

img

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. JOHN POMBE MAGUFULI AKIMKABIDHI MENEJA MASOKO NA MAWASILIANO WA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF, JAMES MLOWE TUZO BAADA YA KUIBUKA WASHINDI WA KWANZA KATIKA KUNDI LA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII NA BIMA KWENYE MAONYESHO YA 41 YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.