LAPF news Roundup

Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri, Theopili Makunga

Published on 29 May, 2017

img

Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri, Theopili Makunga akichangia mada zilizowasilishwa na wataalamu wa LAPF mbele ya wahariri wa vyombo vya habari , zikiwemo mada zinazohusu shuguli za utendaji wa Mfuko, uwekezaji katika viwanda na  mafao mbalimbali ikiwemo mkopo wa elimu na fao la kujitoa. Pichani kulia ni meneja masoko na mawasiliano wa LAPF, James Mlowe, kushoto ni ofisa mwandamizi mpango wa uwekezaji, Eliya Shola pamoja na meneja mafao Ramadhani Mkeyenge.