LAPF news Roundup

Meneja masoko wa mfuko wa pensheni wa LAPF, James Mlowe

Published on 29 May, 2017

img

Meneja masoko wa mfuko wa pensheni wa LAPF, James Mlowe, akitoa ufafanuzi mbele ya wahariri na vyombo vya habari kuhusiana  na namna LAPF  Inavyoweza kuhudumia wateja wake, katika semina iliyofanyika tarehe 27/05/2017 jijini Dar es Salaam, pichani kati ni mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Theopil Makunga pamoja na katibu wa jukwaa hilo Neville Meena.