LAPF news Roundup

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Tisa wa Wadau wa LAPF wakishiriki katika zoezi la kupima afya ya Figo

Published on 15 March, 2017

img

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Tisa wa Wadau wa LAPF wakishiriki katika zoezi la kupima afya ya Figo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Figo duniani tarehe 9, Machi, 2017 wakati wa mkutano huo.