LAPF news Roundup

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, akimkabidhi mwanachama wa LAPF Mfano wa Hundi

Published on 15 March, 2017

img

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mh. George Simbachawene akimkabidhi mwanachamawa LAPF, Bw. Joshua Mmary mfano wa Hundi ya shilingi milioni tano ikiwa ni mkopo wa Maisha Popo tena LAPF (kuanziamaisha) unaotolewa na LAPF kwa waajiriwa wapya waliochagua kujiungana LAPF.