LAPF news Roundup

Tuzo ya Ufungaji Bora wa Mahesabu LAPF 2014/15

Published on 06 December, 2016

img

Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. John Kida akipongezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA Pro. Isaya Jairo kwa ushindi wa kwanza wa ufungaji bora wa mahesabu ya Mfuko kwa mwaka wa fedha 2014/15. Tuzo hizo zilitolewa tarehe 03 Disemba, 2016.