LAPF news Roundup

Meneja Mawasiliano na Masoko wa LAPF akikabidhi hundi

Published on 06 December, 2016

img

Meneja Mawasiliano na Masoko wa LAPF James Mlowe akikabidhi hundi halisi ya shilingi milioni 6,027,000 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi. Fedha hizo ni kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya maji ili kuboresha huduma ya maji katika Manispaa ya dodoma.