LAPF news Roundup

Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakabidhi vifaa vya umwagiliaji maji kwa kikundi cha watu wenye Ulemavu.

Published on 26 November, 2016

img

Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakabidhi vifaa vya umwagiliaji maji kwa kikundi cha watu wenye Ulemavu cha Buigiri, Dodoma. Pichani ni Afisa Masoko Mwandamizi wa LAPF Rehema Mkamba akikabidhi baadhi ya vifaa hivyo kwa viongozi wa kikundi hicho. Vifaa hivyo vitawasaidia kuendesha shughuli za kilimo cha mboga mboga cha umwagiliaji ili kujipatia kipato.