LAPF news Roundup

Mradi wa Mabweni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Published on 02 November, 2016

img

Mradi wa Mabweni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). LAPF imetumia bilioni 22 kujenga majengo na miundimbinu katika Chuo cha Elimu ya Tiba na Afya chuoni hapo kwa awamu ya kwanza ya mradi huo.