LAPF news Roundup

Mchango kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa Ilemela

Published on 02 October, 2016

img

Meneja wa Kanda ya ziwa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Yesaya Mwakifulefule akimkabidhi hati ya msaada wa mifuko 325 ya saruji naibu waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela mkoani Mwanza, Angela Mabula kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa wilayani Ilemela.