LAPF news Roundup
Mchango kwa waathirika wa maafa ya tetemeko la ardhi KageraPublished on 29 September, 2016

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokea mfano wa Hundi ya Sh. 20,000,000 kutoka kwa Meneja wa LAPF kanda ya Dar es Salaam, Bi Amina Kassim. Fedha hizo ni mchango kwa waathirika wa maafa ya tetemeko la ardhi, Kagera. Katikati ni afisa matekelezo wa LAPF, Kafiti Kafiti.
