LAPF news Roundup

Mkutano kwa Wahariri Wakuu wa Vyombo vya Habari Tanzania

Published on 18 August, 2016

img

Meneja wa kanda ya Dar es Salaam wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bi Amina Kassim akiwasilisha mada iliyohusu maandalizi ya kustaafu katika mkutano kwa Wahariri Wakuu wa Vyombo vya Habari Tanzania