LAPF news Roundup

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli afungua rasmi kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu

Published on 06 May, 2018

img

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali baada ya kufungua  kwa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu katika Manispaa ya Morogoro leo Mei 6, 2018.