LAPF news Roundup

img Meneja Mawasiliano na Masoko wa LAPF akikabidhi hundi
Published on 06 December, 2016

Meneja Mawasiliano na Masoko wa LAPF James Mlowe akikabidhi hundi halisi ya shilingi milioni 6,027,000 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma…
Read more ....


img Tuzo ya ufungaji bora wa Mahesabu LAPF 2014/15
Published on 06 December, 2016

Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko Bw. John Kida akiwa ameshikilia Tuzo, pamoja nae  ni…
Read more ....


img Tuzo ya Ufungaji Bora wa Mahesabu LAPF 2014/15
Published on 06 December, 2016

Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. John Kida akipongezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA Pro.…
Read more ....


img Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakabidhi vifaa vya umwagiliaji maji kwa kikundi cha watu wenye Ulemavu.
Published on 26 November, 2016

Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakabidhi vifaa vya umwagiliaji maji kwa kikundi cha watu wenye Ulemavu cha Buigiri, Dodoma. Pichani ni Afisa Masoko Mwandamizi…
Read more ....


img Baadhi ya Maofisa wa LAPF pamoja na waandishi wa Habari.
Published on 02 November, 2016

Baadhi ya Maofisa wa LAPF pamoja na waandishi wa Habari wakitembelea mradi wa mabweni katika Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo nje kidogo…
Read more ....


img Kaimu Mkurugenzi Huduma kwa Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF
Published on 02 November, 2016

Kaimu Mkurugenzi  Huduma kwa Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Ramadhani Mkeyenge akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma kuhusu miradi iliyotekelezwa  na…
Read more ....


img Mradi wa Mabweni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
Published on 02 November, 2016

Mradi wa Mabweni katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). LAPF imetumia bilioni 22 kujenga majengo na miundimbinu katika Chuo cha Elimu ya Tiba na…
Read more ....


img Mchango kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa Ilemela
Published on 02 October, 2016

Meneja wa Kanda ya ziwa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Yesaya Mwakifulefule akimkabidhi hati ya msaada wa mifuko 325 ya saruji naibu waziri…
Read more ....


img Mchango kwa waathirika wa maafa ya tetemeko la ardhi Kagera
Published on 29 September, 2016

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokea mfano wa Hundi ya Sh. 20,000,000 kutoka kwa Meneja wa LAPF kanda ya…
Read more ....


img Mkutano kwa Wahariri Wakuu wa Vyombo vya Habari Tanzania
Published on 18 August, 2016

Meneja wa kanda ya Dar es Salaam wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bi Amina Kassim akiwasilisha mada iliyohusu maandalizi ya kustaafu katika mkutano…
Read more ....