Photo Gallery

Sherehe za Mei Mosi 2014
img

Watumishi wa Mfuko wa Pensni wa LAPF wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa sherehez a Mei Mosi Mkoani Dodoma.

img

Mfanyakzi Bora wa Mfuko wa Pensheniwa LAPF mwaka 2013/2014 Ndugu Hamza Diwani Msangi akikabidhiwa zawadi na Mh. Raisi wa Jamhuri wa Muunganowa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete wakati washerehe za Mei Mosi 2014 zilizofanyika kitaifa Jijini Dar es Salaam.