Photo Gallery

LAPF washiriki maonesho ya Wiki ya Hifadhi ya Jamii
img

Mh. Rais akipata maelekezo alipotembelea katika banda la LAPF

img

Baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda la lapf wakati wa maonesho hayo.

img

Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akipata maelezo katika Banda la LAPF.

img

Mkurugenzi mkuu wa LAPF Bw. Eliud Sanga akipokea Tuzo ya LAPF iliyotolewa na SSRA kwa kuwa the Fastest Growing Fund in Tanzania in terms of Membership size.