Photo Gallery

Pinda afungua mkutano mkuu wa LAPF
img

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Katibu Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Afrika Mashariki na Kati, Bibi Margaret Osure (katikati) ,  Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliudi Rust, Kenya, Rosemary Maina (kushoto) na Meneja wa Retirement Benefits Authority wa Kenya, Machira Charles (wapili kushoto) baada ya kufungua mkutano wa Wadau wa LAPF kwenye ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi jijini DAr es salaam Novemba 2, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)